johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akamdanganye Jesca asiye na akili akagonga "O" form fourRais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee huyu mzee hapendi mnakompeleka peleka ili aongeze idadi ya watu.Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
Huyu mzee ukitaka upige KIOO cha tv na remote basi msikilize live. Yani ni ANAKERA!Sio kirahisi hivyo!Hapo hapo anasema yaani akaongeze mishahara aache kujenga flyover na barabara!!!!!Sasa hapo ameongeza au hajaongeza?
It is a pity. My salary is still the same for the past four years.Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma eti wameokotwa majalalani.
Source ITV
Maendeleo hayana vyama!
KAMLIPA NANI!?“Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
#MillardAyoUPDATES
Anadai wafanyakazi mmelipwa? Eti ni kweli enh?? Ngoja nimfuate ticha mkuu akanilipe changu kumbe alishalipwa uhamisho wake kakaza kunilipa deni languKAMLIPA NANI!?