johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ajira za serikali wanajoto kali sanaSawa.
Sasa badala yakucheleweshwa na wenye mawazo mbadala sasa mnacheleweshana wenyewe kwa wenyewe.Pale ambapo upinzani utakapozimwa na kubaki chama kimoja basi hapo ndipo uoinzani wa kweli utaibuka kutoka chama kimoja...
Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatuKumbe sio wapinzani wanaochelewesha maendeleo!