britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mheshimiwa magufuli mtetezi wa wanyonge tunatambua kiu ulokuwa nayo ya kuwatumikia watanzania na kuwatoa misiri kuwapeleka kanaani
lakin kwa maoni ya watanzania inaonekana kama vile kanaani ni.mbali bora warudishwe misiri tu
MISIRI WALIYAPATA YAFUATAYO
1. Watu walikwepa kodi misiri
2.watu walilipishwa ada misiri
3. Watu walifanya biashara kwa njia wajuazo na mkono kwenda kinywani wakiwa misiri
4.mabenki yamekopesha sana watu bila kufuata utaratibu wa hela ni za nani na zinatoka wapi wakati wa misiri
5.madili na mzunguko wa hela uliluwa mkubwa wakati wa misiri
6.magari yalikuwa ya foren dar wakati wa misiri,
7.Vyuo vikuu vikawa kibao nchini wakati wa misiri,
8.Wanafunzi wakajiunga elimu ya juu sana bila kufuata utaratibu wakati wa misiri,
9.Ajira kila mwaka kwa serikali na mashirika binafsi zilikuwa za kumwaga wakati wa misiri,
10.magreat thinkers waliandika sana wakati wa misiri mpaka watu wakajiuliza mbona hakuna utaratibu wa kutoa habari, ma blogers , YouTube zinaanzishwa tu bila utaratibu? Hiyo ni wakati wa misiri
11.Kodi haikusanywi vya kutosha hapo misiri
Tukaamua sasa tumpate mtu wa kufuta hayo hapo awatoe watanzania Misiri kuwapeleka kanaani, na akapatikana Magufuli akaahidi kwamba kanaani atawafikisha vema watanzania, cha kushangaza nadhani ni ama hakujua kwamba kanaani ni mbali Sana au alijua lakin akapuuzia,
Sasa watanzania wanaona bora wasitishe safari hii warudi zao misiri maana katika safari ya matumaini kwenda kanaani haya yametokea
A.Tulitaka kiongozi wa kukusanya kodi lakin huyu ananyang'anya kabisa hakuna mfumo mzuri wa kujua nani alipe nini kulingana na anauza nini, mpaka vitanda ukikibeba unatoa kodi ya maliasili,
B. Kanaani tunapoelekea tulitaka elimu iwe bora siyo kufuta vyuo tu kwa kisirani na kuzikomoa shule za binafsi zinazoonekana kuwa tishio kwa shule za serikali, watu wanaona bora turudi misiri kanaani mbaali mnooo
3. Ajira tunajua haukuwepo mfumo mzuri wa ajira huko misiri ilikuwa kupendeleana, lakin anayetupeleka kanaani kafuta kabisa hata hizo za kupendeleana aisee turudi misiri jamani
C. Tulilalamika mabenki kutumia vibaya hela za umma kukopeshana kipindi tukiwa misiri tukadhani twende kanaani ndo hakuna kuchezea hela ya nchi, jamaa kaja kufungia yote treasury account hazina hakuna mzunguko tena watu wanasena bora ule mzunguko wa hela wa misiri maana kanaani pameshakuwa mbali mno,
C.Tukasema uboreshe vyuo vilivyokuwa havifuati utaratibu wakati wa misiri, tukampata wa kutupeleka kanaani aisee hatujafika hata robo kashafungia vyuo 10 bora turudi misiri tu watoto wasome,
D. Tulikataa walioweka habari zisizo na maadili mitandaoni, na tukasema tukimpata ambaye atatutoa misiri hapa atupeleke kanaani, kumbe katika hatua za kutupeleka kanaani waandishi wa habari na mabloger watafungwa aisee bora turudi misiri mzee
E.Tukiwa misiri tulitamani twende kanaani kwenye madege mazuri ya ATCL, lakin anayetupeleka kanaani ndo ikawa fashion ya kununua madege badala ya kujenga mahospital na shule mpaka tunasubiri majanga yatokee ndo tupate rambi rambu tugawe ya kujenga hospital, jamani kanaani mbaali sana
Safari ya kanaani ni ndefu mnoo bore turudi misiri maisha yaendelee
Nakutakia mapumziko mema ulipo Jakaya Kikwete
Britannica