Rais Magufuli, watu wanataka kurudi Misri Kanaani mbali sana

Hahahaha kazi hipo kwakweli
 
Mheshimiwa magufuli mtetezi wa wanyonge tunatambua kiu ulokuwa nayo ya kuwatumikia watanzania na kuwatoa misiri kuwapeleka kanaani
lakin kwa maoni ya watanzania inaonekana kama vile kanaani ni.mbali bora warudishwe misiri tu


Britannica
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmejikuta nacheka kwa sauti kubwaa. Doh!
 
Pita kila nyumba ukipiga hodi utakuta cherehani nnenne mpaka zitimie nyumba 3000 zenye cherehani. Mwijage alifunga kazi kwenye viwanda Ila alisahau vya kubangua korosho akatumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…