Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kutaka kuona maandamano ya hao watu,watakiwe kulipwa Kodi,na tozo kama wengine woteNi wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni.
Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
Hao walamba asali ni wahujumu uchumi.Ni wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni.
Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
Mwigulu anawaona watanzania wajinga kwa kudanganya tozo imefutwa.Ndio walipe KODI.
Wapaki maV8, watumie Prado na Nissan au Harlier.
Ingawa sijaona TOZO ilofutwa, ikiwa nikitoa ATM zaidi ya 30,000 tozo ZIKO pale pale!!!!
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo wambura awakusanye sentro?🤣
Duh !! Huo ndio mshikamano ??!!Tuendelee kulipa Kodi na tozo za mshikamano kwa maendeleo ya viongozi na nchi🤣🤣🤣🤣