MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hainiingii Akilini kabisa niliyeko Beach tena Wilaya ya Kishua kabisa ya Kinondoni naonekana nipo Mkoani halafu wa Kitunda Mwanagati ( Ilala ) aonekane anatokea Jijini. Huku ni Kudhalilishana tu sasa.
Tafadhali Rais Mama Samia turejeshee Hadhi zetu Watu wa Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni pamoja na Nguvu zote za Kimamlaka ( Kiutawala ) kama zamani.
Yaani sasa tunaanza Kulazimishana kila Mtu akimbilie Ilala na hata Mademu nao ukiwaambia unatokea Kinondoni wanaanza Kukudharau kwa Kukuambia unatokea Mkoani na tena usijiroge ukasema sijui unatokea Mabwepande au Boko Cha Simba ndiyo watakutaa kabisa kwa Kukuambia unatokea Kijijini.
Nahisi Maamuzi aliyoyafanya Rais Mheshimiwa Hayati Dkt. Magufuli labda alidanganywa au kuna Mtu alikuwa na lake Jambo. Ni kama alivyokosea pia kuruhusu Machinga Stendi Mpya ya Mbezi Luis ambapo sasa si tu wanaingia Kufanya Biashara zao hovyo hovyo ila Usiku huwa wanajipundua na Kukojoa hovyo baadhi ya Maeneo na hata Kuachia Kitu Kimba vile vile katika Mifuko mipya ya Plastiki na Kusepa zao.
Ninakuaminia sana tu Rais Mama Samia.