Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Hii dawa haipatani na Corona ndiyo maana haipo!asee hiyo dawa ya diklofekani kweli haipatikani ata kwenye maduka ya dawa
Na awamu hii atasingizia nini maana viti vyote wamechukua waoAtasema "MAENDELEO HAYANA CHAMA, NASEMA UONGO NDUGU ZANGUUU".
Halafu atamalizia kusema "KAWAOMBE HAYO MAJI NA MAENDELEO HAO WABUNGE/MADIWANI WA UPINZANI MLIOWAPA KURA".
Huna akili!Huna unalojua wewe Asilimia kubwa ya miradi ya Barabara dar es salam Ni miradi ya world bank ( DMDP) yaani Dar Es Salaam Metropolitan project. Hizo Ni hela za world bank na muasisi wake Ni kikwete.
Ingia hapa ujionee World Bank Project : Dar es Salaam Metropolitan Development Project - P123134
Nikikwambia wee ni chizi utakataaHuna unalojua wewe Asilimia kubwa ya miradi ya Barabara dar es salam Ni miradi ya world bank ( DMDP) yaani Dar Es Salaam Metropolitan project. Hizo Ni hela za world bank na muasisi wake Ni kikwete.
Ingia hapa ujionee World Bank Project : Dar es Salaam Metropolitan Development Project - P123134
HahahaaKumekuwa na kila aina ya matengenezo na marekebisho ndani ya Dar kwanini ni Dar tuu wakati mikoa mingine tunakosa hata barabara ya kokoto? Mzee umeona nini Dar kila kitu Dar.
Wakati mikoa ya Kusini wanapata tabu hata ya soko na bei ya korosho wee unaipamba Dar kila kukicha!
Nimekuja Dar juzi aisee kweli unaifanya Dar kama Ulaya ila inamanufaa gani kwako Dar!
Unaacha tengeneza barabara ya kuingia hifadhi ya taifa ya serous inayopitia KIBITI to Mloka.
Unaacha fatilia mambo muhimu kama mikopo kwa wanafunzi ajila kwa wahitimu wee unaipamba dar tu why?
Unaacha fatilia upatikanaji wa dawa mahospitalini hata diklofenaki ukanunue duka la dawa baba angu wee unaipamba dar!
Unaacha fatilia maswala kupanda kwa kodi baba angu wee Dar tu!
Unaacha fatilia matapeli wa mitandao wale wa tuma ela kwa namba hii mzee wee Dar na yako tuu?
MZEE DAR UMEONA NINI?
taja,kingineHuna akili!
Mi nimeongelea barabara tuuu
Wewe ndo akili huna jua kwanza DMDP ni nn na alichokijibu jamaa.Huna akili!
Mi nimeongelea barabara tuuu
Wewe ndo akili huna jua kwanza DMDP ni nn na alichokijibu jamaa.Huna akili!
Mi nimeongelea barabara tuuu
Kwanza wapi mi nimeongelea barabara?Wewe ndo akili huna jua kwanza DMDP ni nn na alichokijibu jamaa.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app