Kumbe wanakuwa wanakuwa wamekwishachagua mshindi kabla ya shindano!ha ha ha....jamaa kaja juu baada ya 'mshindi' wake kutoswa....
Mimi naona mashindano yakifanywa kwa weledi tija itakuwepo, kiasi fulani huwa wanasaidia kutangaza utalii japo utalii wenyewe hauwasidii watanzania.hii ni aibu sana.. nafikiri wizara haina strategy nzuri.. kama lengo ni kutafuta watu wanaoweza kutangaza nchi yao vyema haya mashindano HAYANA TIJA!!!
aibuuuuuu pwaaaaa imewafika !!!kumbe huwa wanakuwa tayari na jina la mshindi kabla ya shindano?
Walipeana makonde niiliiona kwenye tv. Hawa watu wa ajabu sana jamani. Tanzania kuna kila aina ya aibu!!
Rais wa Masharobaro, Rais wa Wasafi, wa manzese etceti 'RAIS' ndo maana Nyerere alipiga marufuku watu kujiita m 'rais'.....
siku hizi kuna mpaka Rais wa FM ACADEMIA.....LOL