Rais mpya wa Tanzania kutoka katika kundi la wasanii

Rais mpya wa Tanzania kutoka katika kundi la wasanii

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Naomba tupendekeze nani ktk kundi la wasanii wa kibongo anaweza kua na sifa za kuongoza nchi, ukilinganisha na namna anavyo jitoa ktk tasnia yake..
Tunaweza kumuelezea kwa vipengele kama hivi..

1.kujiamini
2.kushiriki na wengine/wasanii
3.kujituma/uwezo binafsi
4.kuitetea nafasi yake
5.mahusiano na jamii
6.matumizi ya akipatacho

Ukiviangalia vizuri vipengele hivi, hata raisi wanchi vina mgusa na vinaweza kua kigezo cha yeye kuongoza vyema nchi au kuiongoza vibaya..

1,2,3 twendeee
 
hatuwezi kufikia huko..hkn rais atakayetoka kwny sanaa yoyote bongo
 
Rip komba

Sasa jimbo lake litatafta mbunge mpya au watasubir uchaguzi?
 
Back
Top Bottom