Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao, na Tanzania itafurahia Ukombozi;
Afya Bure;
Elimu Bure;
Makazi Bora na Huduma safi..
Uongozi bora, Makini na Uwajibikaji wa hali ya juu...
NI DR W. P. SLAA....
MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUJALIE BARAKA NA HAKI YETU IKAMILIKE.