Rais mpya wa TLS, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
 
Chama chake ni Tanganyika
 
Does it make any difference katika utendaji ? Binafsi naona haya mambo ya kuleta Siasa kila sehemu kunapunguza nguvu ya Taasisi nyingi sana nchini..., Its a very dangerous road...
 
Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
Kama vile naiona Tanganyika inakuja!! 😆
 
Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
Ni mwanachama wa Sauti ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom