Rais Mseven asome alama za nyakati , ishu ya Bobi Wine itamcost

Rais Mseven asome alama za nyakati , ishu ya Bobi Wine itamcost

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
434
Reaction score
581
habari, Dunia na waganda kwa ujumla wamechoka na jina la Mseven kuwa katika madaraka, hii ishu ya Bobi wine itampeleka pabaya naona western media wameikomalia na hapa wana target yao (museven must go, kinachosubiriwa ni tamko la wakuu wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museveni anapaswa aondoke kama Mugabe, na lazima ataondoka tu! Haya madikteta ya afrika sasa yamechokwa kila kona, yamekalia kukandamiza haki za raia wao ilhali wananchi wao wakitopea kwenye lindi la umaskini....
 
True akiivaa kichwa kichwa,kadri unavopambana na kitu ndo unakipa nguvu,kiongozi mahiri upotezea vitu sababu anajua madhara yake. Babu anagombea tonge na mjukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh....aliingia kwa mtutu. Atatoka kwa mtutu au kifo....
 
Kila kifo/mwisho una chanzo mkuu. Huenda ilo jambo ilibidi litokee ili kuitimisha mwisho wake. Natamani itokee hivyo ili iwe somo zuri kwa wenzie
 
Kwa siku mbili hizi nimekua nikifuatilia yanayojiri huko kupitia vyombo vyao vya habari kwakweli ishu ya Bobi inazidi kushika kasi; na ukizingatia kwamba Bobi ni kijana na kwa takwimu zao 3/4 ya population yao ni vijana under 30. The situation is very alarming.
 
Yanayotendwa na ccm na magufuli nchini kwako huyaoni
Unajifanya umeyaona ya jirani
Ama kweli nyani haoni kundule

Watu kama nyinyi mnanipa hasira sana

E&K
 
Back
Top Bottom