zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Yanayotendwa na ccm na magufuli nchini kwako huyaoniKwa siku mbili hizi nimekua nikifuatilia yanayojiri huko kupitia vyombo vyao vya habari kwakweli ishu ya Bobi inazidi kushika kasi; na ukizingatia kwamba Bobi ni kijana na kwa takwimu zao 3/4 ya population yao ni vijana under 30. The situation is very alarming.