Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Afungua Akaunti Special kwa Waislam- NBC

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Afungua Akaunti Special kwa Waislam- NBC

unasifia au unaponda?, kuna tatizo au kuna la kujifunza?, mbona naona kama sio habari?
 
unasifia au unaponda?, kuna tatizo au kuna la kujifunza?, mbona naona kama sio habari?

Kumbe habari zinazowekwa huku ni zakuponda au kusifia tu? Ni vizuri pia kupeeana taarifa, kwa baadhi inaweza isiwe na manufaa lakini kwa wengine itakuwa na manufaa. Kwa nilivyoelewa kama una-qualify ukikopa pesa itakuwa ni interest free. So hicho ni kitu kizuri kupeana taarifa. However sijui details zaidi so ni vizuri ku-discuss na wengine. By the way kwanini sio habari kwani hii akaunti ilikuwepo toka zamani au ndio imeanza?
 
Back
Top Bottom