Kumbe habari zinazowekwa huku ni zakuponda au kusifia tu? Ni vizuri pia kupeeana taarifa, kwa baadhi inaweza isiwe na manufaa lakini kwa wengine itakuwa na manufaa. Kwa nilivyoelewa kama una-qualify ukikopa pesa itakuwa ni interest free. So hicho ni kitu kizuri kupeana taarifa. However sijui details zaidi so ni vizuri ku-discuss na wengine. By the way kwanini sio habari kwani hii akaunti ilikuwepo toka zamani au ndio imeanza?