Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Bure turudi utawala kama wa kikwete,vijana wanapata mikopo,ajira zinatoka,watu vipato vinaongezeka......kuliko kurudi uchumi wa kati wakujenga kijijini kwa rais tu,huku sehemu zingine zikibaki hoehae
 
Kuna watu hawana hata aibu asee!! Lakini kurudi madarakani Bila kuchaguliwa hii ni kinyume na katiba pia sio demokrasia.
Boraa kuliko kua na rais anayeua raia wake wanaomkosa,mwenye kazi ya kuchota hela hazina,na kujiamulia tu kufanya anachokitaka
 
Bure turudi utawala kama wa kikwete,vijana wanapata mikopo,ajira zinatoka,watu vipato vinaongezeka......kuliko kurudi uchumi wa kati wakujenga kijijini kwa rais tu,huku sehemu zingine zikibaki hoehae
Aliyewabatiza nyumbu aliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…