Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Umeandika sana halafu hakuna hta atakae soma shida inaanzia hapo
 
Safi Sana. Anampa support Rais wetu kipenzi SSH. Ambaye hataki pole zake. KAZI Iendeleee na wenye mapenzi mema na nchi Waendeleze. Hutaki Acha tupo tutaendeleza.
 
Aids is nonsense
 
Upendo wa ajabu namna hii wanaotuonyesha wamarekani kwa WaTanzania, unatokana na nini hasa? Tujiulize tu kwa akili za kawaida kabisa...; yaani mtu ukimwomba bilioni 5 za kununua ARV anakupa, na sharti hizo ARV ununue kwake, kwahiyo pesa yote anabaki nayo yeye, halafu baada ya miaka mi5 anaanza kukuuzia mashine za dialysis, za moyo nk. baada ya ARV kufanya kazi yake kwenye figo, ini na moyo. Ila ukimwomba mkopo (sio msaada) ujenge bwawa la kufua umeme anakwambia unaharibu mazingira, huku yeye kajenga yasiyo na idadi, ili aje akukodishie Symbion na Aggreko kwa capacity charge ya bilioni 5 kwa siku.

Mi nikiwa Rais, wendawazimu vipofu kama wewe wasioona ushenzi na udhalimu wa hao nguruwe weupe, ningekuwa nawatandika risasi hadharani kila siku, y mnajitia upofu??!!!
 
Ndo mastermind wa awamu hii .mabeberu karibu muda wao ndo huu
Bora huo ubeberu kuliko tulikotoka kwenye dikteta leo hii watu wako huru na wanafurahia maisha na kina mbowe wako huru wanafanya shughuli zao za kisiasa.
 
Bora huo ubeberu kuliko tulikotoka kwenye dikteta leo hii watu wako huru na wanafurahia maisha na kina mbowe wako huru wanafanya shughuli zao za kisiasa.
Kwani kilichokufanya usifurahie maisha kabla ni nini? Flyover au nini?
 
Akimaliza akaonane na wa 'Rwanda' pia.
 
Hilo jamaa buuree kabisa.
Hao “mabeberu” huwa hawatulazimishi kuwagawia bure rasilimali zetu. Ni viongozi wa serikali ya CCM hupenda kuandaa na kusaini mikataba ya kifisadi na “mabeberu”, period. “Beberu” akidai mkataba safi usio na ufisadi ananyimwa fursa na kutangaziwa kila aina ya mipasho.
Wapinzani wakidai mikataba ijadiliwe bungeni wanashambuliwa kwamba hizo ni “siri za nchi”. Kufichua ufisadi ni usaliti kwa taifa; eti unalivua nguo taifa! Ndio sababu hadi leo CHADEMA inatambulika na serikali na manazi wake kama “public enemy number one”. Mwendazake alitaka kuiangamiza na viongozi wake literally.
Huu ujinga wa kudai “mabeberu” wanataka kutuibia ni aibu kubwa sana ya awamu ya 5. Hata corona: eti nayo ni njama za mabeberu kutaka kutuibia rasilimali zetu; wtf! [emoji35] Hakuna mkoloni anayemshikia bunduki mtu siku hizi. Mnajipeleka wenyewe na propoza zenu za kiwizi halafu mnadai mmebakwa! Mbona nchi makini zinasaini mikataba ya maana sana?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tunarudi kule kule. Yaani tutapigwa tena miradi ya agreko meremeta richmond inaweza kuanza kurudi tena
 
Hili Taifa ni tabu kama tabu wa kule ichwakima[emoji23][emoji23][emoji23]
Raia hawajui wanachokitaka
Viongozi hawajui wanachokifanya
Upinzani hawajui wanacho kipigania

Taifa la kipumbavu kabisa kwenye uso wa dunia.
Yaaani tupotupoo tu....
Nikweli
 
Mwendazake yule yule,aliyechukua vyanzo vya mapato halmashauri na kusema ameongeza mapato?,yule yule aliyekua anakomba hela hazina na kujenga kijijini kwao?,yule yule kwa miaka mitano hajaajiki walimu na wanakada za afya,huku akipiga makelele elimu ni bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…