Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Price

Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Price

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya mazungumzo na kupelekea kuondoka kwa Jeshi la Marekani Afghanistan
4. Alipunguza mchango wa Marekani kwa NATO na alikuwa ana mpango wa kufunga vituo vya kijeshi huko ulaya ikiwemo kituo kikubwa Ujerumani
5. Aliweka mahusiano mazuri na Rais Putin.
Kuingia kwa madarakani Rais Biden kwa muda wa mwaka mmoja tumeona vita huko Ukraine baada ya Russia kuivamia nch hiyo na sababu kubwa ni mpango wa Marekani kupanua NATO. Kwasasa Marekani inapeleka silaha za mabilioni ya dola kwa serikali ya Ukraine.
Tuatamkumbuka daima Donald Trump kwa kuiweka hii dunia salama
 
Back
Top Bottom