Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Prize

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya mazungumzo na kupelekea kuondoka kwa Jeshi la Marekani Afghanistan
4. Alipunguza mchango wa Marekani kwa NATO na alikuwa ana mpango wa kufunga vituo vya kijeshi huko ulaya ikiwemo kituo kikubwa Ujerumani
5. Aliweka mahusiano mazuri na Rais Putin.
6. Hakufanya Regime change kwa taifa lolote duniani
Kuingia kwa madarakani Rais Biden kwa muda wa mwaka mmoja tumeona vita huko Ukraine baada ya Russia kuivamia nch hiyo na sababu kubwa ni mpango wa Marekani kupanua NATO. Kwasasa Marekani inapeleka silaha za mabilioni ya dola kwa serikali ya Ukraine.
Tuatamkumbuka daima Donald Trump kwa kuiweka hii dunia salama .
 
Hii Nobel hata sasa mpeni kwani bado yuko hai.
Yule ni mfanyabiashara aliona wapi uchumi unavuja ndio maana upuuzi wa kisiasa aliuweka kando.
 
Sera hiyo waamerika hawakuipenda kwani sera inayoiweka America hai mpaka sasa ni uchochezi na vita ikiwemo wizi.

Kamwe hawataki kuona sehemu ya dunia iking'aa maana huogopa kupitwa na influence yake kufa.
Sasa ninaweza kuamini kuwa uchaguzi wa Marekani 2020 Rais Donald Trump aliibiwa kura kama alivyodai
 
Ww unadhani ni uongo? Aliibia kura, watu ambao walkua hawamtaki ni lile baraza la senate na zile kura za baraza hilo

But kwa kura za raia aliwakimbiza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]huelewi ATA uchaguzi wa Marekani upoje eti Baraza la senete, Trump kwenye popular vote alipata 75m wakati Biden alipata 81m
 
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya mazungumzo na kupelekea kuondoka kwa Jeshi la Marekani Afghanistan
4. Alipunguza mchango wa Marekani kwa NATO na alikuwa ana mpango wa kufunga vituo vya kijeshi huko ulaya ikiwemo kituo kikubwa Ujerumani
5. Aliweka mahusiano mazuri na Rais Putin.
6. Hakufanya Regime change kwa taifa lolote duniani
Kuingia kwa madarakani Rais Biden kwa muda wa mwaka mmoja tumeona vita huko Ukraine baada ya Russia kuivamia nch hiyo na sababu kubwa ni mpango wa Marekani kupanua NATO. Kwasasa Marekani inapeleka silaha za mabilioni ya dola kwa serikali ya Ukraine.
Tuatamkumbuka daima Donald Trump kwa kuiweka hii dunia salama .
Mie nilipenda alivyo wapiga China Sunctions za kufa mtu including Huawei
 
Sijui kuhusu uongozi wake bora ama nn lakini hili jamaa speech zake burudani tu. Niliangalia moja ya enzi za korona asee burudani

Anakwambia ' We did wonderful, wonderful mobilization with a beautiful, beatiful people doing spectacular work.... and the result were phenomenal, like never seen before' Yaa ni ukitaka kujifunza vihisishi sijui vivumishi hili jamaa ndo mahala pake.

Af lilikuwa linachana tu laivu : 'CNN is fake news don't talk to me, next'
 
Mpaka sasa bado roho inaniuma, maana nilijua kabisa ujio was biden utaleta mateso miongoni mwa wanadamu. Trump ndiye rais kinara kupinga ubaguzi wa rangi.
 
Back
Top Bottom