Rais mstaafu Dr. Jakaya Kikwete akiwa na wauza vitunguu

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Rais mstaafu akiwa safarini kutokea Iringa alikokwenda kwenye mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa alipata nafasi ya kuwaungisha vijana wanaofanya biashara ya vitunguu katika maeneo ya Ruaha Mbuyuni ikiwa ni kuwatia moyo vijana hao kwa juhudi wanazozifanya katika kujitafutia kipato halali.

 
Huyu mzee ndiye katutia watanzania kaa la moto kwenye kidonda sasa hivi yeye kajituliza kimyaa! Haya Ulitaka tukukumbuke Tunakukumbuka sasa .... "Tunatamani urudi baba"
 
Duh Haya Kumekucha Sasa Dr Yupo Njiani
 
Jk Atakumbukwa kwa kulitupilia mbali lile Fisadi
Na kutupatia mtetezi na mzalendo
Mungu akuongoze zaidi Jk
Alalu akishawaona hao wakulima wa vitungu what
Next

Ova
 
Kitu kikubwa alichokifanya JK na ambacho anastahili sifa ni kukata jina la rafiki yake fisadi.

Hapa umenena vyema, pengine bila yeye kumchinjia baharini tusingekuwa na Jembe letu tuliye naye leo hii. Kwa kwel kwa kitendo kile baadhi yetu tunamshukuru daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…