Rais mstaafu Dr. Kikwete ajitolea kumsaidia Mzee Majuto matibabu India, pia kumnunulia trekta la kilimo

Kitu cha msingi ni kuimarisha tiba ili matibabu kama haya yafanyike nchini, ni wagonjwa wangapi wanateseka vijijini na mijini ambao hawana nafasi ya kuonana na viongozi kama hawa ?
 
Safi

Ila mzee kilimo cha minazi labda kama anaandaa urithi wa watoto na wajukuu
 
Sasa minazi mpaka itoe Nazi nizaidi ya miaka 7,majuto bana
Si bora alime mahindi tu Pale kabuku au michungwani kunakubali sana mahindi,akishindwa sana apande michungwa mwaka mmoja tu anaanza kula hela ya uzeeni
 
Huyu Mzee si ametengeneza Pesa sana......matangazo yote hayo Mpk kwenye mabasi ya mwendokasi au wanadhulumiwa Mbona wasanii kutwa kulia shidaaa

Ova
 
Tunamfahamu kikwete kupitia hayo anajali sana watu ni rais wa kukumbukwa daima
 
Pole kwake na asante JK.

Sasa hiyo minazi itakuja kumpa faida lini na umri wote huo?

Trekta awe anakodisha apate pesa za kujikimu. Pia alime mashamba ya mazao ya muda mfupi.
Well said!!
 
Pongezi kwake JK, amefanya maamuzi mazuri
 
Pole kwake na asante JK.

Sasa hiyo minazi itakuja kumpa faida lini na umri wote huo?

Trekta awe anakodisha apate pesa za kujikimu. Pia alime mashamba ya mazao ya muda mfupi.
Kuhusu Trekta nukiwaza kana wewe mkuu..
 
Wenye shida na mahitaji pengine hata kuliko hayo ya Mzee Majuto huko Msoga, Chalinze na Bagamoyo wamemalizika? Tuanzie hapa Kwanza.
Wee Shida yako nini?? kwani kumsaidia mtu kuna masharti??
 
Pole kwake na asante JK.

Sasa hiyo minazi itakuja kumpa faida lini na umri wote huo?

Trekta awe anakodisha apate pesa za kujikimu. Pia alime mashamba ya mazao ya muda mfupi.
Kwa kweli......ndio wahenga wskasema 'akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Jiwe atawahi hii kiki auze sura
 
Huyu mzee mabasi ya mwedo kasi yamejaa sura yake hiyo mikataba wanalipwa nini? baada ya mika mitano mfano ukute mtu kama Diamond anaitaji msaada ndo unaweza pagawa
 
Mungu akubariki Mh Jakaya Mrisho KIKWETE.

A blessing hand will be blessed relentlessly!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…