USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Rais wa awamu ya nne mzee Kikwete amepewa tuzo maalum ya kukuza muziki na kulea wasanii wakati wa utawala wake .
Amewakiliswa na mwanawe Miraji Kikwete jukwaani na kupiga simu kushukuru kwa kuwa hakufika baada ya kuwa na majukumu mengi ya kiutendaji.