Rais mstaafu Kikwete, Ridhiwani washindwa kuhudhuria harusi ya Ali Kiba

nilikuwa najuwa tu asingeenda kupoteza mdaaa ...jama amedanga na wanawake wa kibongo weeeeeeeeeee akazalisha wa 3 sasa kuowa anaenda Mombasa kule wanakopenda mambo ya sodoma
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
Alipo mwanamke ndipo utapo oa sizani kama wewe unaeza kwenda kumuozesha mwanao nje ya kwako
 
Wenzetu huwa wanaenda na nyota na mambo kibao na unaweza kuta ndoa ikakaa wiki moja. Wastara na Mbunge.
Duh upo kwenye nyota acha hizo kwanini usikifiri walau wanakwepa msongamano wawatu?
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
Kidini ya kiislam mwanamke anaolewa kwao baada ya harusi kukamilika ndio anakuwa wako rasmi unampeleka kwako
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
empty "" uwe unauliza kabla ya kuhoji"" unashindwa hata kutambua kuwa Tanzania aa Africa mashiriki ni nchi ambazo zinamkusanyiko wawatu "" wenye dini "kabila tofauti "" yaani unachokijua na kukiwaza wewe nikile ambacho kipo mbele ya upeo wa macho yako "" hujifunzi kutka kujua tamaduni za watu wengine""!?
ndio nyie wote "ambao mkisikia kuna watu wanakula kenge ama nyoka ""mnashangaa" wakati huo huo nchi yenu inakabila la watu wanaokula panya na mbwa"" lkini unaona. kuwa hiyo sio habari
 
Ndoa inafungwa alfajiri?!
Kwanini wamechagua hiyo time?
mkuu hii dunia ina mambo mengi sana ambayo ni siri"" ila kwa jibu LA haraqa haraqa tu "" kuna watu wengine huwa wanaoa kwa kufuata elimu ya nyota" waweza kukuta alikiba alikuwa na mademu kama 6 hivi alitka kuwaoa though akawa ana hangaika kutafuta ambaye nyota yao itaendana""

Hawa Watoto wachawi sana Hawa'' hahaaa
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
Empty set a.k.a zero brain... Ulizaga kama hujui...
 
Kwa hyo ??
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
Anaenda kuoa Mombasa
Kwa nn afunge ndoa Tanzania wakati bi harusi yuko Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…