Rais mstaafu Kikwete, Ridhiwani washindwa kuhudhuria harusi ya Ali Kiba

Hili gazet n la leo au n la jana????
 
JK sijui kama kuna nchi ambayo hajakanyaga labla somalia
 
Watanzania:Mambo ya msingi vs upupu![emoji116][emoji53][emoji53]
 
sasa huyu kijana anaoa au anaolewa? Kwa nn ndoa ifungwe msikiti wa kenya na sio tanzania hiv hawa wabana pua wananini
We nawe, usivyovijua uliza uambiwe! Mtoto wa kike anapoolewa hufwatwa kwao na sio ajilete, chaaa! Mshazoea kuokotana okotana ovyo a.k.a karibu tuishi! Pole wee!!
 
Mmh, waswahili punguzeni tui mtie mchele! Ktk uislam ndoa haina muda so mtakavyoona inafaa ndo hivyo hivyo. Tatizo mnapenda kuishi kwa kukariri kwamba kila ndoa ya kiislam lazima ifungwe ijumaa tena saa saba mchana ili mkadoee 'cha mtume', wengine ndo wanakukomesheni kwa style hiyo, ndoa inafungwa 'awali ya saa', waroho na wambea bado mmelala mkiamka mnakuta story tu goma lishasepa ndo mnabaki kuumia na kusema sema ovyoo!!
 

Kwani kulikuwa na ulazima kama siyo umuhimu wowote ule wa Wao kwenda? Ninachojua tu na nina uhakika nacho 200% ni kwamba Harusi ya Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) Watanzania wote Milioni 54.6 tutahudhuria pamoja na ' Malaika ' wa Mbinguni nao pia watakuwepo kwani ndiyo ' Msanii ' mwenye umuhimu sana si nchini Tanzania bali Ulimwenguni / Duniani kote.
 
elimu ni bahari "" baki na kile unachokijua "" namimk niache nibaki nakile nachokijua mkuu..sidhani kama kutakuwa na aliyepungukiwa na kitu kati Yetu ""
 
Toa uhuni hapa watanzania wote, na malaika wa mbinguni?
 
Unamzungumzia diamond yuppie? Huyu wa kungonolize hadharani na kila mwanamke au wewe Ali kiba kafanya kitu cha kipekee na fundisho kubwa Sana Kwa wasaniii diamond kichwani hamna kitu ndio maana unamtukana baba yake hadharani hivi mtu kupiga picha za uchi kila Siku kuonesha wanawake wakiwa faragha umuite ni mwanaume? Ebu usimringanishe Ali kiba na diamond Yule alikiba sio Mtoto Wa mitaaani wazazi wake wote wanaheshima Ndugu na yeye mwenyewe anajiheshimu ndio maana ameenda kuoa kwenye ukooo wa kieshima unaojitambua hivyo Alli ameweka rekod kubwa na wasaniii wamechanganyikiwa kugundua kuwa kiba amekuwa maarufu mno hao wa vichupi uwakutanishe na watu maarufu kwenye arusi sio sawa yani Kama Yule aliekuwa anafanya ngono kinyume na maumbile anajipiga picha Leo aolewe Mimi niende kwenye hiyo arusi thubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…