Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola ktk chaguzi.
Tumemsikia spika mstaafu mzee Pius Msekwa hakufurahishwa na ushindi wa 99% ambao ccm imeupata huku kukiwa na malalamiko lukuki nchini kote.
Wananchi sasa tunasubiri kwa hamu kubwa kuyasikia maoni ya rais pekee mstaafu mzee Jakaya Mrisho Kikwete. Anasemaje kuhusu uchaguzi wa S/MITAA 2024?
Na ikimpendeza atoe ushauri juu ya mwelekeo mwema wa chaguzi zijazo.