johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu kati ya Mwinyi na kikwete nani hakubaliani kuwa amestaafu?Ni hadhi tu japokuwa Kikwete akubali km kastaafu
akubali au akatae. kwa sheria za nchi ameshastaafu.Ni hadhi tu japokuwa Kikwete akubali km kastaafu
Nimekuelewa sana bwashee na ving'ora kama vyote!Mtu analipwa 80% ya Salary ya aliepo madarakani plus all benefits anastaafu vip boss...
Wanacheza na vineno tu🤣
Nasubiri majawabu yake hapa!Kwani mzee mgaya anasemaje?