figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Jan 31, 2023 #1 The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.