Rais Mstaafu wa Kenya Daniel arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
View attachment 1322484
Moi walimshindwa kabisa kwenye sanduku la kura, kuacha kwake urais ilikuwa kwa makubaliano ya hiari. Kwenye sanduku la kura marehemu na watoto wengi sana walimchagua.Umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili
Jr[emoji769]
yap even Us
hakuna pole wacha life dictator mkubwa!Poleni Sana Wakenya
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atapata Afya Yake Njema Kupitia Tiba
Alikuwa dictator kama Jiwe, acha life liende likumbane na hukumu ya Mungu iliyo ya haki! Liliua watu wengi na kuwapoteza kama ilivyo hapa leo!Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
View attachment 1322484
Miaka 95 Kuna serikali gani jinga ipoteze pesa zake kwenda kukutibia ughaibuni....labda ingekuwa Zimbabwe na sio Kenya....wataitapika[emoji23]Hongera zake kwa vile ana imani na hospitali za taifa lake - hajakimbilia ughaibuni kutafuta tiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mzee ana Hotel nyota 5 pale Israel (Jerusalem)Hongera zake kwa vile ana imani na hospitali za taifa lake - hajakimbilia ughaibuni kutafuta tiba.
Sent using Jamii Forums mobile app