Rais mstaafu wa Pakistani ahukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa na kukiuka Katiba

Rais mstaafu wa Pakistani ahukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa na kukiuka Katiba

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007.

Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi huyo akiwa mjini Dubai tangu alipoondoka Machi 2016 kwasababu za kiafya na kiusalama na kudai kwamba hawezi kurudi nchini humo.
============================

Pakistan's ex-military ruler Pervez Musharraf was on Tuesday sentenced to death in the high treason case by a special court here, according to media reports.

A three-member bench of the special court, headed by Peshawar High Court Chief Justice Waqar Ahmad Seth, handed Musharraf, 76, death sentence in the long-drawn high treason case against him for suspending the Constitution and imposing emergency rule in 2007, a punishable offence for which he was indicted in 2014.

The former army chief left for Dubai for medical treatment in March 2016 and has not returned since, citing security and health reasons.

The special court — comprising Justice Seth, Justice Nazar Akbar of the Sindh High Court (SHC) and Justice Shahid Karim of the Lahore High Court — announced the verdict it had reserved on November 19, the Dawn newspaper reported.


Source: Times of India
 
Aliyekuwa raisi wa Pakistani wakati wa uvamizi wa Marekani nchini Afghanistani amehukumiwa kunyongwa. Ni hukumu anayostahiki kwa kukaribisha maangamizi kwa raia jirani na wale wa nchini mwake.

Amesababisha mauwaji ya watu wengi sana na ameutia aibu umma wa kiislamu kuwa na mtu mwenye akili mbaya kama yake na aliyekosa ubinadamu.

Nadhani huu hukumu kwa vile yuko nje ni hukumu hewa.Kama wakitaka watu wengine walioshirikiana naye bado wapo wengi ndani ya nchi.Na hukumu ambazo zinastahiki watawala wa enzi hizo wa nchi za Afghanistan, Iraq, Saudi Arabia, Qattar, Uturuki, Oman na kwengineko.
 
Aliyekuwa raisi wa Pakistani wakati wa uvamizi wa Marekani nchini Afghanistani amehukumiwa kunyongwa.Ni hukumu anayostahiki kwa kukaribisha maangamizi kwa raia jirani na wale wa nchini mwake
Amesababisha mauwaji ya watu wengi sana na ameutia aibu umma wa kiislamu kuwa na mtu mwenye akili mbaya kama yake na aliyekosa ubinadamu.
Nadhani huu hukumu kwa vile yuko nje ni hukumu hewa.Kama wakitaka watu wengine walioshirikiana naye bado wapo wengi ndani ya nchi.Na hukumu ambazo zinastahiki watawala wa enzi hizo wa nchi za Afghanistan,Iraq,Saudi Arabia,Qattar,Uturuki,Oman na kwengineko.
Amii punguza basi muhemko atiiiii

Maendeleo hayana chama
 
Amii punguza basi muhemko atiiiii

Maendeleo hayana chama
Maendeleo gani katika kuuwa watu.Hao wapikistani limekuwa taifa changa wakati tayari lilifikia daraja ya taifa lenye kuendelea. Hii ni kwa kuwa kibaraka wa mataifa ya kibeberu.
 
Naona kila dalili hapa ya uzi huu kutoka kuwa habari ya hukumu ya kunyongwa na kuwa mjadala wa kidini!

Haswaa! Ukishaona mihemuko na maneno kama 'Umma wa kiislamu' ujue ndo ivo waarabu wa bongo washahemkwa na kumtetea Allah
 
Kila wakati nikiliona hili jina musharraf, namkumbuka Bi Benazir Butto.

Mungu ailaze pahali pema, roho ya Bi Benazir Butto.

Kiuhalisia hapo hamna hukumu, ni mchezo mchezo mchafu wa kisiasa unaendelea.

Musharafu yupo Dubai kimatibabu, na amekwisha sema hawezi rudi Pakistan

Na hii bado ni kamchezo Tu unaendelea, kwasababu Dubai na Pakistani hawana makubaliano ya kubadilishiana wafungwa.

Kwahiyo hapo metii hukumu

lomayani saevie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman. Paksitan imemuhukumu Rais Mstaafu Gen Mushaaraf kunyongwa hadi kufa. Kisa nimapinduzi alioyafanya nakuvunja katiba pamoja nakumfukuza judge mkuu.
Akawauwa watu kimya kimya mwisho nayeye siku wakamtimua nakumuweka ktk kitanzi.
Kuwakiongoz nikuwaheshim unao watawala nakuheshim katiba unaweza watukana nakuwauwa wote unaona nihatari kwako ila siku isio najina watu wataweka kilakitu pembeni nakukutia kitanzanzini.
Mungu libariki taifa letu. Amen
 
Back
Top Bottom