Namuombea hivyo pia kagame, mu7 na Albashir
Huyo Court Chief Justice ni kiboko
Anasema anyongwe kwa kila kosa na maiti itundikwe mbele ya jengo la bunge kwa siku tatu
Huyo ndio Chief Justice wa huko
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyo bora ametawala miaka 15 na ana achia ngazi hagombei tena ,lakini hao wengine wameng'ang'ania nchi kama mali zao binafsi
Huyo bora ametawala miaka 15 na ana achia ngazi hagombei tena ,lakini hao wengine wameng'ang'ania nchi kama mali zao binafsi
Ungekua ni mfatiliaji wa siasa za waziwa makuu ungekua unalifamu hilo kua hagombei na michakato ya kutafuta mlithi wake ndani ya chama chake unaendelea.
Rajabu yuko kwa rafiki yake kagameHahahah daah kweli Pierre ni mwanademo-ghasia,hivi yule rafiki yake Pierre aitwae Hussein Radjabu yuko wapi siku hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rajabu yuko kwa rafiki yake kagame
Sikujua wahutu na watusi ni marafiki mpk wamekimbilia kwa rafiki yao mtusi,hahahah.Kwan hujui kama kagame haitaki serikali ya kihutu Burundi na anawasaidia kina Rajabu , Niyombare n.k kuunda vikundi vya waasi kama red - tabara?
Ndo lugha gani hiyo?