Rais mtarajiwa mwaka 2020

Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu huyu tulikuwa tunamuona pale UDSM wa kawaida kabisa leo hii kila mtu anajipendekeza kwake si unajua tena nani hapendi kuwa karibu na ulaji??
 
Yeyote ana haki ya kugombewa na kupigiwa kura kwa mujibu washeria
 
HUyo dogo nadhami atakuwa ashammega huyo Shyrose
 
Wako busy kweli, huku mtoto ukienda kule mama, basi mambo kama hivyo. Mkulu wakimpa tena mitano Wakwere wote pale ........ tutawaona nao wako busy
 
kama huna kitu cha ku post humu bora acha kabisa..
sio unatuwekea utumbo humu! we are the great thinkers humu, sio unaweka watu ili kuwapa promo!
 
kama huna kitu cha ku post humu bora acha kabisa..
sio unatuwekea utumbo humu! we are the great thinkers humu, sio unaweka watu ili kuwapa promo!

He is donning a DEEP GREEN SHIRT,CCM TYPE. NO PROM HERE!!!!
 
Brooklyn wewe ni Mkolofi kabisa. Kulamba au kusugua chini Mkono ni siri ya mtu mwenyewe. Naweza kukwambia nitasugua chini kumbe kimoyomoyo najua ntaulamba au kinyume chake.

Nakubaliana na Samvande 2002 kuwa tujaribu kupost vitu vyenye akili kidogo. Hayo mapicha yalopostiwa ya huyo kijana wa J......................... na Shyrose hayana maana yoyote.

Nawasilisha.
 
Kajamaa kana kiherehere sana haka, yaani baada ya baba yake kuwa raisi imekuwa nongwa alikuwa wapi siku zote?
Ange subiri basi baba yake aondoke madarakani bwana busara gani hii?? Then waandishi na wachambuzi wetu wamekaa kimyaaa utadhani hawalioni hili, naona wanasubiri JK astaafu kama Mkapa ndio waanze kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…