... au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba...
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.
Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".
Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".
Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!
hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!
Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?
Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.
Correction...
He is not pro abortion but pro-choice.
...ilikuwa haina hata haja ya kumjibu!! Obama ni baaaaaab'kubwa kuliko Nyerere mara million!!!

You are parsing words....
hahahahaha wewe ndio mshabiki!! Nyerere alifanya nini? kuanzisha CCM? azimio la Arusha na ujamaa wa njozi? Nyerere hafikii hata nusu ya Obama....kwanza MKJJ aliyoandika juu ya positions za Obama ni distortions ambazo mtu mwenye mtindio wa ubongo na mvivu wa kufuatilia mambo ndio anaweza kukubaliana nae kama wewe ulivyofanya hapo juu!!
acha ushabiki bros...Obama kiboko yao!!
...sawa wewe unakijua unacho shabiki, mie ni bwege mtozeni, bendera fuata upepo!! wewe ni GENIUS..
OBAMA baaab'kubwa kuliko Nyerere, FACT!!
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.
Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".
Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".
Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!
hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!
Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?
Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.
Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".
Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".
Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!
hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!
Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?
Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.
Mkuu Mbona hivyo!!!....nilitegemea labda ungenisaidia Obama kafanya nini kuwa baab kubwa....ama ungekuja na hizo tangible FACTS za kuwa yeye ni zaidi ya Nyerere...hakuna cha U-Genius hapo...
All the best bro
Mzee Mwanakijiji napingana na wewe, sio kwamba anashabikiwa na Wa-Tanzania au watu weusi tuu bali ni dunia nzima, Japan, China na duniani koote wanamshabikia Obama nadhani uliona Germany watu walivyojaa (Kwa nini? sijui) lakini jamaa ni dunia nzima, labda kwa sababu ya msg yake na ya kampeni yake. Na sioni sababu ya watu utokumshangilia yeye kwa sababu ni haki yao kuchagua. Na hiyo kuongeza Kodi , sasa isipoongezwa nani atalipia hiyo miradi inayotegemewa? au mwenzetu una-make more than $ 250,000 ndio maana umechukia kodi yako itaongezwa nini? na suala la kutoa mimba kashasema kwamba sio kwamba anapenda litokee ila inabidi kuangalia afya ya mama na kama mtu amebakwa na ni chaguo la mama anayetaka kutoa na daktari wake. Maana watu wa dini wanapenda kupigia Republicans kwa sababu ya hivyo vitu viwili tuu gays na abortion, na Bush alipigiwa sana na watu wa dini na hana dini yeyote. Ila ndio hivyo waache wabongo wachague wanayemtaka.
kuhusu kushuka naomba uende Welcome to Obama for America kuangalia kama imeshuka. na jiulize baada ya Sept 11, ni nani walikuwa madarakani wakaenda kumpiga mtu ambaye hausiki na mashambulizi na hakuwa na kitu walichosema anacho WMD? na pia mambo ya darfur yametokea chini ya utawala wa nani? na hiyo 120,000 nani kakuambiaa?ni kawaida ya democraps kupendwa na dunia lakini tujiulize, wameifanyia nini dunia....mauaji ya halaiki yaliyotokea rwanda na burundi hivi raisi wa marekani alikuwa nani?
halafu hiyo ya $250,000 naona sasa imeshuka hadi $120,000....
Kuna mamilioni ya watu katika bara letu ambalo wanasubiri kwa hamu ushindi unaotarajiwa wa Obama kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huko Marekani. Kuna tafrija na sherehe zilizoandaliiwa sehemu mbalimbali ambapo watu weusi watasimama kufurahia ushindi wa Obama.
Sitoshangaa wengi wanaosubiri huo ushindi wa Obama wanafanya hivyo si kwa sababu wanakubaliana na sera zake zote (kuongeza kodi, kugawanya utajiri n.k) au misimamo yake ya kijamii (kuunga mkono utoaji mimba au haki za mashoga n.k) bali wanafanya hivyo kwa sababu Obama ni "mweusi mwenzetu".
Hili hata hivyo linanikumbusha jinsi watu walivyomshabikia Kikwete mwaka 2005 licha ya kuwa hakuwa na rekodi yeyote, hakuwa tayari kufanya midahalo na wagombea wenzake na alikuwa na maneno matamu ya "change" yaliyotumiwa kwa mbiu ya "ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya".
Wapo watu wale wale ambao leo wanamgeuka Kikwete ndio leo wanakumbatia kwa haraka maneno ya "change" na ya kuwa "Yes we can". Lakini nyuma ya ushabiki huu Watanzania na watu wa mataifa mengi ya dunia wanachoshabikia kule Marekani kwa kweli ni Rangi; kwamba hatimaye Taifa lenye watu wengi weupe likaongozwa na mtu mweusi!
hapa najikumbusha maneno ya Mwalimu "Sisi bwana hatutukuzi rangi, tunatukuza mtu bwana"!
Yawezekana ulimwengu ukakosea katika ushabiki wake wa Obama kama Watanzania asilimia 80 ya wapiga kura walivyokosea walipomshabikia Kikwete. Kweli Obama ataweza kutimiza ahadi yake ya "kuibadili Marekani, na kuibadili dunia"?
Yawezekana kiongozi ambaye watanzania na nchi za ulimwengu wa tatu zilipaswa kumshabikia ni McCain na siyo Obama kama wangeamua tu kuweka rangi pembeni? Well, masaa 24 yajayo will give us a clue.
Watanzania kamwe hatumuungi mkono mgombea Urais wa US kwa kuangalia rangi yake bali sera zake. Ndiyo maana katika miaka ya nyuma tuliwaunga mkono akina Clinton, Kerry, Al Gore, Jimmy Carter ambao hawakuwa weusi lakini sera zao zilikubalika na Watanzania wengi ukilinganisha na sera za wagombea wa Republicans
Sasa hivi Obama anaungwa mkono dunia nzima isipokuwa Israel tu. Japan, China, East and West Europe, Canada, Russia, North and South Korea, Middle East na Africa yote mgombea wanayemuunga mkono ni Obama. Kwa hiyo utaona kwamba Obama ana mvuto mkubwa sana duniani kote na kama angekuwa anagombea katika nchi yoyote ile duniani with exception ya Israel angeshinda ushindi wa kishindo kikubwa sana. Walimwengu wengi watakuwa katika majonzi kama Obama akishindwa. Kila la heri Obama.