Rais mteule Donald Trump awasili Ikulu ya White House na kukutana na Rais Biden, ni sehemu ya mchakato wa kukabidhiana madaraka

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Kila la kheri ndugu zetu Marekani
----
Welcome back': Biden greets Trump at the White House

Two men have criticized each other for years, hold different policy positions

Trump's team yet to sign agreements for transition, causing partial stall

Trump celebrates victory with House Republicans earlier in the day

WASHINGTON, Nov 13 (Reuters) - President-elect Donald Trump and President Joe Biden, longtime political rivals, met on Wednesday for the first time since Trump won back the White House last week and both promised a smooth transfer of power in January.

The two leaders sat side by side before a roaring fire in the Oval Office, a peaceful scene that belied tensions between them.

Biden, a Democrat, defeated Trump in the 2020 election but dropped out of the 2024 race in July after a disastrous debate with the Republican Trump. He handed his candidacy to Vice President Kamala Harris, who lost.

c-2024-11-13t162121z-1307122410-rc2g4bashykm-rtrmadp-3-usa-trump-biden.jpg
 
Hapa kwenye uchaguzi hadithi siku zote ni wizi wa kura unaofanywa na chama cha ccm ambacho kinatumia nafasi ya kuwa chama tawala kuhakikisha kwamba chenyewe ndicho kinachohusika katika kuandaa, kusimamia na kutangaza matokeo ya uchaguzi ambapo kinatumia hiyo fursa kujitangazia ushindi katika kila uchaguzi unaofanyika wakati kiuhalisia waga hakishindi uchaguzi.
 
If I lose, the election would be obviously rigged; if I win, it's free and fair. Go! Go, Trump!
 
Haya uliyo andika ndio yalikuwa malalamiko ya dikteta DT 2020 akishinda yeye sawa wakishinda wenzake wizi inafurahisha
 
Naona Trump sasa amekomaa kisiasa..ujinga ujinga kaacha
 
Uchambuzi na mantiki za latest results vinaonesha DT won in 2020 even if was not declared.
 
Hapa kwenye uchaguzi hadithi siku zote ni wizi wa kura unaofanywa na chama cha ccm ambacho kinatumia nafasi ya kuwa chama tawala kuhakikisha kwamba chenyewe ndicho kinachohusika katika kuandaa, kusimamia na kutangaza matokeo ya uchaguzi ambapo kinatumia hiyo fursa kujitangazia ushindi katika kila uchaguzi unaofanyika wakati kiuhalisia waga hakishindi uchaguzi.
Huku Swahili land tuna siasa za kihuni tu
 
Naona Trump sasa amekomaa kisiasa..ujinga ujinga kaacha
Bado anao.

Sasa kama hiyo kurudisha makwao watu milioni 11 unafikiri ni jambo rahisi kweli.

Hiyo ni idadi ya watu sio chini ya mikoa 4.
 
If I lose, the election would be obviously rigged; if I win, it's free and fair. Go! Go, Trump!
Inaonekana alikuwa sahihi kwani kwa zama hizi asilimia kubwa ya wamarekani wamechoka na wageni wanaokuja nchini mwao na kutaka kuwaletea tamaduni zao kitu ambacho Trump anapinga vikali.
 
Back
Top Bottom