johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema mara baada ya kuapishwa atashusha Bei ya unga wa ugali kisha Ijumaa atakutana na Rais wa Somalia ili kuiimarisha Biashara ya miraa
Source Citizen tv
Source Citizen tv