J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 11, 2022 #1 Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema mara baada ya kuapishwa atashusha Bei ya unga wa ugali kisha Ijumaa atakutana na Rais wa Somalia ili kuiimarisha Biashara ya miraa Source Citizen tv
Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema mara baada ya kuapishwa atashusha Bei ya unga wa ugali kisha Ijumaa atakutana na Rais wa Somalia ili kuiimarisha Biashara ya miraa Source Citizen tv
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 11, 2022 #2 Mirungi ni halali Kenya.
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Sep 13, 2022 #3 Duuh, kumbe miraa ni dili!! Sasa Tanzania wanasubiria nini kwenye opportunity kama hii, wamebakia tuu kuumiza tozo za miamala!!
Duuh, kumbe miraa ni dili!! Sasa Tanzania wanasubiria nini kwenye opportunity kama hii, wamebakia tuu kuumiza tozo za miamala!!