Kenya 2022 Rais mteule wa Kenya William Ruto anaongea na Waandishi wa Habari, ampongeza Chebukati

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale Makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo Kikatiba.

Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na si vinginevyo.

Chanzo: Citizen tv
 
Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo kikatiba

Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na si vinginevyo

Source Citizen tv
IEBC act inasemaje?
7. Unless a unanimous decision is reached, a decision on any matter before the Commission shall be by a majority of the members present and voting.
sijui kama hii ina apply kwenye kura
 
Makamishina wapo wangapi?

Mle ukumbimi wamedundwa watatu na kule Serena walikuwepo Wanne

Je, kuna wengine?
 
Hao Waliokataa Ndiyo Akina Jecha Kule Zanzibar
Whatever, the law is clear with no ambiguity!
"ANY results IEBC Chairman Wafuka Chebukati announces are INVALID because he had no quorum of commissioners to hold a plenary and make such a weighty decision. The ongoing process at Bomas is now ILLEGAL," Odinga spokesman Makau Mutua tweeted.
 
Mahakama itaamua nani mshindi!!

Natarajia assassin's kazini hasa hao wapingaji kama yule mmoja aliyekufa wakati ule wa ushindi wa uhuru!!!

"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe KATIBA mpya""!
 
Whatever, the law is clear with no ambiguity!
"ANY results IEBC Chairman Wafuka Chebukati announces are INVALID because he had no quorum of commissioners to hold a plenary and make such a weighty decision. The ongoing process at Bomas is now ILLEGAL," Odinga spokesman Makau Mutua tweeted.
Tume ya uchaguzi Haina mamlaka ya kuchagua raid wa Kenya. Rais anachaguliwa kwa kura za wakenya. Katiba imempa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kutangaza matokeo! Haihitaji kolamu Kutangaza matokeo, inahitaji matokeo yawe tayari Kutangazwa!
 
You can't expect nyang'aus to share equally their spoil before them! The stronger must take the lion's share! At least this is what has happened to!
 
Tume ya uchaguzi Haina mamlaka ya kuchagua raid wa Kenya. Rais anachaguliwa kwa kura za wakenya. Katiba imempa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kutangaza matokeo! Haihitaji kolamu Kutangaza matokeo, inahitaji matokeo yawe tayari Kutangazwa!
nilitegemea argument yako ijikite kutafsiri hicho kifungu nilichokuwekea.
 
Comrade Wafula Chebukati Amemaliza Kazi Chap

Whatever, the law is clear with no ambiguity!
"ANY results IEBC Chairman Wafuka Chebukati announces are INVALID because he had no quorum of commissioners to hold a plenary and make such a weighty decision. The ongoing process at Bomas is now ILLEGAL," Odinga spokesman Makau Mutua tweeted.
Basi kura zihakikiwe tena, ila sio kurudia uchaguzi, Wakenya wameshaamua

Matokeo yote yapo kwenye mtandao tangu tarehe 10 na server ipo salama
 
Back
Top Bottom