johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
IEBC act inasemaje?Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo kikatiba
Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na si vinginevyo
Source Citizen tv
Makamishina wapo wangapi?IEBC act inasemaje?
7. Unless a unanimous decision is reached, a decision on any matter before the Commission shall be by a majority of the members present and voting.
sijui kama hii ina apply kwenye kura
wako 7, wanne wamekataa....Makamishina wapo wangapi?
Mle ukumbimi wamedundwa watatu na kule Serena walikuwepo Wanne
Je, kuna wengine?
Basi hali bado ni tetewako 7, wanne wamekataa....
nimekuwekea act.... schedule inayohusikaRais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo kikatiba
Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na si vinginevyo
Source Citizen tv
Rais mteule wa Kenya Dr Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo kikatiba
Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na si vinginevyo
Source Citizen tv
Hao Waliokataa Ndiyo Akina Jecha Kule Zanzibarwako 7, wanne wamekataa....
Whatever, the law is clear with no ambiguity!Hao Waliokataa Ndiyo Akina Jecha Kule Zanzibar
Hapo walipofika CHAWA ndio watakuwa chamboMahakama itaamua nani mshindi!!
Natarajia assassin's kazini hasa hao wapingaji kama yule mmoja aliyekufa wakati ule wa ushindi wa uhuru!!!
"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe KATIBA mpya""!
Tume ya uchaguzi Haina mamlaka ya kuchagua raid wa Kenya. Rais anachaguliwa kwa kura za wakenya. Katiba imempa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kutangaza matokeo! Haihitaji kolamu Kutangaza matokeo, inahitaji matokeo yawe tayari Kutangazwa!Whatever, the law is clear with no ambiguity!
"ANY results IEBC Chairman Wafuka Chebukati announces are INVALID because he had no quorum of commissioners to hold a plenary and make such a weighty decision. The ongoing process at Bomas is now ILLEGAL," Odinga spokesman Makau Mutua tweeted.
nilitegemea argument yako ijikite kutafsiri hicho kifungu nilichokuwekea.Tume ya uchaguzi Haina mamlaka ya kuchagua raid wa Kenya. Rais anachaguliwa kwa kura za wakenya. Katiba imempa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kutangaza matokeo! Haihitaji kolamu Kutangaza matokeo, inahitaji matokeo yawe tayari Kutangazwa!
Ngoma bado mbichi - Martha Kalua
Comrade Wafula Chebukati Amemaliza Kazi Chap
Basi kura zihakikiwe tena, ila sio kurudia uchaguzi, Wakenya wameshaamuaWhatever, the law is clear with no ambiguity!
"ANY results IEBC Chairman Wafuka Chebukati announces are INVALID because he had no quorum of commissioners to hold a plenary and make such a weighty decision. The ongoing process at Bomas is now ILLEGAL," Odinga spokesman Makau Mutua tweeted.