Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani.

"Wazo kwamba Nchi za BRICS zinajaribu kujiepusha na Dola huku sisi tukiwa tunatazama imefika MWISHO," Trump aliandika kwenye mtandao wa kijamii Jumamosi.

Nchi zenye nguvu kubwa duniani China na Russia ni sehemu ya muungano wa Brics, pamoja na Brazil, India, Afrika Kusini, Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Wakati wa uchaguzi wa Marekani, Trump alifanya kampeni ya kutekeleza ushuru wa wigo mpana.
Ametoa vitisho vya kutozwa ushuru mkubwa katika siku za hivi karibuni.

Ujumbe huu kutoka kwa Trump, ambaye atachukua madaraka rasmi mwaka ujao tarehe 20 Januari, ulilenga Brics, muungano wa mataifa mengi yanayoinukia kiuchumi.

Wanasiasa wakuu nchini Brazil na Urusi wamependekeza kuunda sarafu ya Brics ili kupunguza utawala wa dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa.

Lakini kutokubaliana ndani ya muungano huo kumepunguza maendeleo yoyote.
 
Kuna wakati huwa najichanganya sana. Ati wakati wote wa kampeni hadi uchaguzi nilikuwa natamani Kamala ashinde uchaguzi na Trump ashindwe. Sikuwa sawa. Hakuna jeuri wa majeuri kama Trump. Trump kamatia hapohapo. Baadae kidogo leta jicho lako huku Afrika maana waafrika hatuwezi kujitawala.
 
Sasa kwanini marekani wanaogopa ndo kama nchi za SADC ambavyo wanakomaa kuileta sarafu yetu ya EA ila hii wazungu hawataki kuskia hata kidogo sijui kwanini lakini kama wanaofia kukua kwa uchumi wa nchi maskini.

Why wanatupatia msaada?

It means we are screwed 😭 they own us. Maana sisi bwana atushindwi kuleta maafa yaliyotokea Rwanda mwaka 1994.

Waafrika sisi ni wakuangaliwa mpaka aje mtu kama mimi mwenye maono
 
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani.

"Wazo kwamba Nchi za BRICS zinajaribu kujiepusha na Dola huku sisi tukiwa tunatazama imefika MWISHO," Trump aliandika kwenye mtandao wa kijamii Jumamosi.
Nchi zenye nguvu kubwa duniani China na Russia ni sehemu ya muungano wa Brics, pamoja na Brazil, India, Afrika Kusini, Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Wakati wa uchaguzi wa Marekani, Trump alifanya kampeni ya kutekeleza ushuru wa wigo mpana.
Ametoa vitisho vya kutozwa ushuru mkubwa katika siku za hivi karibuni.
Ujumbe huu kutoka kwa Trump, ambaye atachukua madaraka rasmi mwaka ujao tarehe 20 Januari, ulilenga Brics, muungano wa mataifa mengi yanayoinukia kiuchumi.

Wanasiasa wakuu nchini Brazil na Urusi wamependekeza kuunda sarafu ya Brics ili kupunguza utawala wa dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa.

Lakini kutokubaliana ndani ya muungano huo kumepunguza maendeleo yoyote.
Huyu Trump anakosea hapa, busara na hekima sifuri.
Atakuja kuharibu tena kama alivyoharibu kwenye trade war na China.
Hakuna taifa linalokubali unyonge.
 
Kuna wakati huwa najichanganya sana. Ati wakati wote wa kampeni hadi uchaguzi nilikuwa natamani Kamala ashinde uchaguzi na Trump ashindwe. Sikuwa sawa. Hakuna jeuri wa majeuri kama Trump. Trump kamatia hapohapo. Baadae kidogo leta jicho lako huku Afrika maana waafrika hatuwezi kujitawala.
Huku Africa bwana nasikia nondo wamemrudisha
 
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani.

"Wazo kwamba Nchi za BRICS zinajaribu kujiepusha na Dola huku sisi tukiwa tunatazama imefika MWISHO," Trump aliandika kwenye mtandao wa kijamii Jumamosi.

Nchi zenye nguvu kubwa duniani China na Russia ni sehemu ya muungano wa Brics, pamoja na Brazil, India, Afrika Kusini, Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Wakati wa uchaguzi wa Marekani, Trump alifanya kampeni ya kutekeleza ushuru wa wigo mpana.
Ametoa vitisho vya kutozwa ushuru mkubwa katika siku za hivi karibuni.

Ujumbe huu kutoka kwa Trump, ambaye atachukua madaraka rasmi mwaka ujao tarehe 20 Januari, ulilenga Brics, muungano wa mataifa mengi yanayoinukia kiuchumi.

Wanasiasa wakuu nchini Brazil na Urusi wamependekeza kuunda sarafu ya Brics ili kupunguza utawala wa dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa.

Lakini kutokubaliana ndani ya muungano huo kumepunguza maendeleo yoyote.
Brics tishio,Marekani kaogopa kaanza mikwara
 
Kichaa huyo, hatabiriki.
 
BRICS inawavuruga sana wamarekani.
Ngoja tuone huu muziki utaishaje
 
Wameshaanza kubweka. Putin kamatia hapohapo
 
Afrika inawataka watawala wake kuangalia interest za Africa katika jambo lolote lile, ila ni Nongwa Rais wa Marekani kuangalia interest ya Marekani kwanza.
People do things for self interest not altruism.
 
Brics haiendi popote, India amesema hawezi kuacha kutumia dola na Afrika Kusini iko njiani. Brics wameshindwa kuleta sarafu yao hiyo kila siku ni blaa blaa tu wanapiga.

Wanajua wakileta sarafu yao hiyo basi ndiyo mwisho wao wa kufanya biashara na nchi za magharibi na ndio kusambaratika kwa chumi zao hivyo ndio maana kila siku wanapiga siasa tu kwenye vyombo vya habari.
 
Marekani imeenslave dunia kwa dola yake lakini ajabu inaact kama victim!!!
 
Ngoja tukope mara ya mwisho ndo aje
Kuna wakati huwa najichanganya sana. Ati wakati wote wa kampeni hadi uchaguzi nilikuwa natamani Kamala ashinde uchaguzi na Trump ashindwe. Sikuwa sawa. Hakuna jeuri wa majeuri kama Trump. Trump kamatia hapohapo. Baadae kidogo leta jicho lako huku Afrika maana waafrika hatuwezi kujitawala
 
Back
Top Bottom