Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hivi atawezaje kutawala kwa amani moyoni katika hali ambayo Wazanzibar wengi namna hiyo wanauwawa na kuachiwa vilema vya maisha ili tu yeye awe rais?Mwenyezi Mungu ampe hikma aivushe salama Znz.
Seif na Jussa wanakaribishwa pia.
Mmepanga kumfanyaje?Aombe Sana Mungu atoke salama hapo uwanjani, niishie hapa.
Ng'ombe wewe utafanyanini?Aombe Sana Mungu atoke salama hapo uwanjani, niishie hapa.
Na hivi.Hivi ndivyo alivyoupata ushindi
View attachment 1616783
Awasamehe walioshikiliwa au walioshikiliwa ndio wamsamehe yeye? na vipi wale ambao wamepotea wasiojulikana walipo atatwambia wako wapi na walikuwa wapi? Vipi wale waliouliwa na vikozi vya ulinzi?Hongera sana Mh Mwinyi kuchaguliwa kuwa Rais mteule wa Zanzibar.
Ili kuleta umoja wa kitaifa, ukishaapishwa kuwa Rais, kwa mamlaka uliyonayo wasamehe viongozi wa upinzani na baadhi ya wafuasi wao walioshikiliwa.
Adhurike muone!Aombe Sana Mungu atoke salama hapo uwanjani, niishie hapa.
Wale si wakusamehewaHongera sana Mh Mwinyi kuchaguliwa kuwa Rais mteule wa Zanzibar.
Ili kuleta umoja wa kitaifa, ukishaapishwa kuwa Rais, kwa mamlaka uliyonayo wasamehe viongozi wa upinzani na baadhi ya wafuasi wao walioshikiliwa.
Hiyo ndio lugha pekee wanayo ielewa hao watu