Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,896 Reaction score 4,058 Nov 12, 2019 #1 Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,577 Nov 12, 2019 #2 Taifa Stars Oyeeee!
Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,264 Reaction score 835 Nov 13, 2019 #3 Kwani tuna anzia wapi niulize kwanza kama ni home hakuna haja ya kukodi ndege.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Nov 13, 2019 #4 Sisi mandege yapo kibaao Magufuli kanunua haina haja ya kukodi bali ni kuchagua tu ya kutumia kama ni airbus au dreamliner
Sisi mandege yapo kibaao Magufuli kanunua haina haja ya kukodi bali ni kuchagua tu ya kutumia kama ni airbus au dreamliner