Huku idadi ya wagonjwa waliopona Corona kufikia28 baada ya wagonjwa wengine 6 kupona na kuruhusiwa kutoka hospitali leo hii.
Rais Museveni wa Uganda amesema kuwa“Nawapongeza madaktari na wahudumu wote wa afya Uganda kwa kazi nzuri, mmeweza kupambana na corona huku wenyewe mkiwa salama pia, tukutane baadae nitakapolihutubia taifa kuhusu mwenendo wa ugonjwa huu wa corona”
Nchi hiyo yenye jumla ya visa vilivyolipotiwa vya ugonjwa wa Corona hadi 55 ambapo wagonjwa 27 wanaendelea na matibabu, huku 28 wakiwa wamepona na hakuna kifo hata kimoja kitokanacho na corona.
Fungua kiambatanisho kusoma hotuba ya Rais Museveni
https://www.jamiiforums.com/data/at...RESS_ON_CORONA_VIRUS_4_MAY_2020-converted.pdf