Rais Museveni, amkabidhi Rais Samia shule iliyojengwa kwa fedha za Serikali ya Uganda

Rais Museveni, amkabidhi Rais Samia shule iliyojengwa kwa fedha za Serikali ya Uganda

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni leo Jumatatu amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan shule ya awali na ya msingi Mseveni iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Uganda, eneo la Nyabirezi, wilayani Chato, Mkoa wa Geita.

IMG_20211129_130759.jpg
IMG_20211129_130704.jpg

 
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni akimkabidhi mfano wa funguo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Mfano huo wa Ufunguo ni ishara ya makabidhiano ya Shule hiyo ya Awali mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika Shule hiyo ya Museveni Pre & Primary School Chato mkoani Geita leo Novemba 29, 2021

IMG-20211129-WA0011.jpg
 
Ni bora tozo zetu tuwape uganda wawe wanatujengea shule zenye standard nzuri. Siku hizi tunakimbilia kujenga madarasa haraka haraka tunaacha kujenga vyoo, tunasubiri mabeberu waje tujengea
 
Tunajengewa hadi chekechea siyo? Basi poa.
 
Hii rushwa ya Museveni iko nje ya muda kweri-kweri aliyekusudiwa kukirimiwa alienda zake.
 
Back
Top Bottom