Rais Museveni ammwagia sifa Rais Trump

Rais Museveni ammwagia sifa Rais Trump

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
917
Reaction score
781
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anampenda rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala.

Museveni alisema Marekani ina rais mzuri sana wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa bunge la Afrka Mashariki.

''Ninampenda Trump kwasababu anasema ukweli mtupu, waafrika wanatakiwa kusuhisha matatizo yao wenyewe, Waafrika ni dhaifu sana'' Museveni.

Pongezi hizo za museven kwa Trump zinakuja saa chache tuu baada ya balozi wa Uganda kwa Marekani Deborah Malac kumkosoa Trump.

''Kauli zake zinachukiza na kukera sana'' amesema Deborah.

Maoni hayo ya Rais Museveni ni tofauti sana na viongozi wengi wanaochukizwa na kauli za Trump.

Mapema mwezi huu Trump alidaiwa kutoa kauli za kejeli juu ya nchi za Afrika wakati wa mkutano wa kujadili masuala ya wahamiaji.

Trump alikataa kuwa ametoa kauli hizo za kejeli lakini seneta mmoja aliyehudhuria mkutano huo alisema kuwa Trump alitamka maneno ya kejeli na matusi kwa nchi kama Haiti,Elsalvador na nchi za Afrika.

Kwa mujibu wa gazeti la New York times, mwaka jana Trump alisema kuwa watu wote wanaotoka Haiti wana UKIMWI, na wananigeria wakiruhusiwa kuingia marekani basi watakataa kurudi Kwao.

Ikulu ya White House ilikanusha madai ya kauli hizo.

Chanzo: BBC Swahili
====================================

I love Trump says President Museveni

Ugandan President Yoweri Museveni addressing members of EALA in Kampala during the opening session on January 23, 2018. PHOTO | EALA

Ugandan President Yoweri Museveni has said he loves the United States President Donald Trump who was recently reported to have referred to Africa countries as "shithole".

Addressing members of the East African Legislative Assembly (Eala) at its opening in Kampala on Tuesday, Mr Museveni said the US president was frank.

“I love Trump because he tells Africans frankly. I don't know whether he's misquoted or whatever. He talks to Africans frankly," he said.

He said Africans need to solve their own problems through integration.

"You can't survive if you are weak. It is the Africans' fault that they are weak... that's why we need East African integration.

"We are 12 times the size of India, but why are we not strong?" He posed.

The East African Community has six member states -- Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi and South Sudan. Somalia is also seeking admission to the bloc.

Apology

Meanwhile, earlier Tuesday, the US ambassador to Uganda Ms Deborah Malac apologised over Mr Trump's comments terming them insensitive.

“For people like me and many of my colleagues who have spent many years working in Africa, we have many relationships and friendships across the continent, [the comments] are obviously quite disturbing and upsetting…” Ms Malac told Uganda's Speaker of Parliament Rebecca Kadaga.

“…I can assure you that we remain engaged and committed to working not just in Uganda but in all the other countries that we work with on the continent and our programmes continue,” she added.

Ms Malac was responding to Ms Kadaga’s query about the comments attributed to Mr Trump.

President Trump, in a meeting with US lawmakers on January 18 is reported to have dismissed Haiti, El Salvador and Africa as “shithole countries” whose inhabitants are not desirable to immigrate to America. But Mr Trump later denied using the derogatory term saying that he only used "tough language".

His remarks were criticised across the world with many African nations calling for his apology.

Uganda's neighbour Kenya said it had no problem with Mr Trump's comments since he did not necessarily direct them at the country.

Eala

The regional assembly began its plenary session in Kampala this week amid division over the election of the Speaker with Burundi refusing to recognise Rwanda's Martin Ngoga as the new Speaker.

"In a nutshell, integration is about the future of our people," Mr Museveni told the MPs, adding that "It's not about positions. When I hear you quarrel about positions, I feel sorry."
 
Nilivyo ona" I love Trump " nikajua anataka kumkejeli
 
'I (President Yoweri Museveni )love Trump,' Uganda's leader says, despite vulgar remark

RISDEL KASASIRA,Associated Press 11 hours ago

KAMPALA, Uganda (AP) — Uganda's president says he loves President Donald Trump and that he should be praised for not mincing words.

"I love Trump because he tells Africans frankly," President Yoweri Museveni said Tuesday, shortly after the U.S. ambassador apologized for Trump's recent reference to African nations as "shithole countries."

"I don't know whether he was misquoted or whatever. But he talks to Africans frankly," Museveni said. "In the world, you cannot survive if you are weak."

The Ugandan leader was addressing members of the regional East African Legislative Assembly.

Several African nations have expressed shock and condemnation at Trump's remark. He has denied using that language while others present says he did.

Museveni, one of Africa's longest-serving leaders, also called Trump an honest man during his State of the Nation address on Jan 1.

Earlier on Tuesday, U.S. Ambassador Deborah Malac met Uganda's speaker of parliament, Rebecca Kadaga, and described Trump's controversial remark as "obviously quite disturbing and upsetting."
 
This is what we call "absolute power" corruption which shall "corrupt absolutely"
 
_99721830__95917161_3383f6c2-0f40-4bc5-b728-8245d8dfc27f-1.jpg

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anampenda rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala.

Museveni alisema Marekani ina rais mzuri sana wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa bunge la Afrka Mashariki.

''Ninampenda Trump kwasababu anasema ukweli mtupu, waafrika wanatakiwa kusuhisha matatizo yao wenyewe, Waafrika ni dhaifu sana'' Museveni.

Pongezi hizo za museven kwa Trump zinakuja saa chache tuu baada ya balozi wa Uganda kwa Marekani Deborah Malac kumkosoa Trump.

''Kauli zake zinachukiza na kukera sana'' amesema Deborah.

Maoni hayo ya Rais Museveni ni tofauti sana na viongozi wengi wanaochukizwa na kauli za Trump.

Mapema mwezi huu Trump alidaiwa kutoa kauli za kejeli juu ya nchi za Afrika wakati wa mkutano wa kujadili masuala ya wahamiaji.

Trump alikataa kuwa ametoa kauli hizo za kejeli lakini seneta mmoja aliyehudhuria mkutano huo alisema kuwa Trump alitamka maneno ya kejeli na matusi kwa nchi kama Haiti,Elsalvador na nchi za Afrika.

Kwa mujibu wa gazeti la New York times, mwaka jana Trump alisema kuwa watu wote wanaotoka Haiti wana UKIMWI, na wananigeria wakiruhusiwa kuingia marekani basi watakataa kurudi Kwao.

Ikulu ya White House ilikanusha madai ya kauli hizo.

BBC Swahili
 
Museveni is mediocre president and is part of African big problem so little wonder
 
Now that we are all agreed (including Kaguta Museveni)Africa is a shithole ,I was wondering for purpose of comparative politics,which of three is greatest shithole
1.North Africa shithole read ECOWAS.
2.East Africa shithole,read EAC.
3.South Africa shithole, read SADC
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa anampenda rais wa Marekani, Donald Trump kwa misimamo yake anayoionyesha. Ameyasema hayo katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala. ambapo amesema Marekani ina Rais mzuri anayesimamia kile anachokiamini. ''Ninampenda trump kwasababu anasema ukweli mtupu, waafrika wanatakiwa kusuluhisha matatizo yao wenyewe, Waafrika ni dhaifu sana,'' amesema Museveni Aidha, Pongezi hizo za Museven kwa Trump zimekuja muda mfupi mara baada ya balozi wa Uganda kwa Marekani Deborah Malac kumkosoa Trump.
 
wana taka kutumia kauli zake kung'ang'ania viti... ili waji pambanue kuwa wao sio mazaifu...
 
Huyo balozi kateuliwa na Obama nini? Ajiweke sawa!
 
Sasa snoop dog anatake kwenda Uganda na yeye,kisa matamshi ya trump ni ya kibaguzi kachapisha na T-shirts za kumsifia museven na museven naye anamkubali trump hahahaha hapa ni kama duara vile.
 
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.ila kwa tulipofkia ndipo hapo ambapo viongozi wetu wamegeuka na kuwa nyani wasioliona kundu lake...Museveni kusifia maneno ya Trump ni unafki wa karne ya 21.kazi kwetu wapiga kura sasa.
Ova
 
Kwanza labda tuelewe "SHITHOLES" ni nini hasa...
  • Kubabaishwa Customer Care na wahusika, wakifanya kazi kama wamelazimishwa..
  • Uchafu na takataka, kunuka kwa mitaa yetu hasa Mikocheni, Mbezi Beach...
  • Kujaa maji kila kamvua, narudia kila kamvua kadogo kakinyesha (Dar), kisa mitaro imejaa uchafu, nyumba kujengwa kwenye njia za maji toka kwenye miinuko..
  • Kupenda kuiba makazini, au kila kukicha kufikiria utaibaje, badala ya kupiga kazi kwa maarifa na bidii..(Posta, Polisi, TIPER, Bandari, TRA, Uhamiaji, Dawasco, Tanesco n.k. n.k.
  • Kutokupenda kufuata sheria bila shuruti, iwe barabarani kwa madereva, maofisini, biashara n.k.
  • Kuwa wavivu kubuni njia rahisi ya kufanya maisha yetu yawe rahisi duniani, kila kitu twategemea Serikali, hata ile kusafisha mitaa yetu, kuchimba mitaro, kusafisha mitaro, ulinzi shirikishi n.k.
  • Kila kitu kuchukulia kimzaha mzaha, ukichukuwa mkopo kwa mtu, benki, popote pale, akilini wafikiria jinsi ya kutokulipa, ukisahau haiwezekani, lazima ile kwako tu..
  • Kutokupenda kujituma makazini, tumeona Airports kuvuja kwenye paa, vituo vya U-DART n.k. Eti wahusika wanasubiri mpaka Majaliwa au Magufuli wakemee!
 
Sijui kwa nini huwa ni vigumu kukitafasiri kiingereza kukipeleka kwenye kiswahili.

Yaani nimefatilia tafsiri nyingi ila huwa zinashindwa ku concur ujumbe wa kiingereza kwenye kiswahili kama ulicyokusudiwa.
 
kuna kutafsiri maana na mantiki(ujumbe)!
 
Now that we are all agreed (including Kaguta Museveni)Africa is a shithole ,I was wondering for purpose of comparative politics,which of three is greatest shithole
1.North Africa shithole read ECOWAS.
2.East Africa shithole,read EAC.
3.South Africa shithole, read SADC
ECOWAS is for West Africa
 
They are upsetting and disturbing comments only to those who always wants to be praised even to their own foolishness, and dont want to learn from their past mistakes.
 
Back
Top Bottom