Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema amepiga marufuku madini ghafi ya Uganda kusafirishwa nje ya nchi kwasababu hataki kuwa sehemu ya wasaliti wa Uganda na Afrika kwa ujumla kwa kutumika kuwatajirisha watu wa mataifa ya kigeni