Rais Museveni awataka Waganda kula Mihogo kama mbadala wa mkate

Rais Museveni awataka Waganda kula Mihogo kama mbadala wa mkate

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Museveni awachana live Waganda.

Kuleni Mihogo kama mkate umepanda bei.👇

Screenshot_20220502-104336.png
 
Kweli upotoshaji ni rahisi sana...,

Neno Kuwataka na Kuwashauri yana tofauti kubwa sana..., Wakati neno Moja ni Busara kulitoa na jingine ni Udikteta..

Alichofanya hata mimi naunga mkono na ningeshauri the same..., Ni nzuri kwa afya Pia
 
Lakini Museven kapandisha mshahara au nilisoma vibaya
 
Zambia pia kuna waziri aliwashauri raia wale viazi vitamu (manumbu) kama hawawezi bei ya mkate
 
Ila pia kuna mikate ya mihogo ingawa ubunifu wetu ni zero na hatutaki kujifunza kwa wengine
Waafrika kila kitu tunacho ila kukitengeneza tunaona kazi kubwa kwa uvivu wetu wenyewe tunaamua kula kama Ng’ombe
IMG_6459.jpg
 
Back
Top Bottom