The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 May 2, 2022 #1 Museveni awachana live Waganda. Kuleni Mihogo kama mkate umepanda bei.π
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 May 2, 2022 #3 Kweli upotoshaji ni rahisi sana..., Neno Kuwataka na Kuwashauri yana tofauti kubwa sana..., Wakati neno Moja ni Busara kulitoa na jingine ni Udikteta.. Alichofanya hata mimi naunga mkono na ningeshauri the same..., Ni nzuri kwa afya Pia
Kweli upotoshaji ni rahisi sana..., Neno Kuwataka na Kuwashauri yana tofauti kubwa sana..., Wakati neno Moja ni Busara kulitoa na jingine ni Udikteta.. Alichofanya hata mimi naunga mkono na ningeshauri the same..., Ni nzuri kwa afya Pia
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 May 2, 2022 #4 Kwanza mikate inaleta constipation, na tule mihogo π
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 May 2, 2022 #5 Lakini Museven kapandisha mshahara au nilisoma vibaya
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,452 Reaction score 8,670 May 2, 2022 #6 Sio lazima ushauriwe, kama huwezi mkate kamata mhogo. Tuseme mfuko wako utakuruhusu uchukue nini. Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima ushauriwe, kama huwezi mkate kamata mhogo. Tuseme mfuko wako utakuruhusu uchukue nini. Sent using Jamii Forums mobile app
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 2, 2022 #7 Zambia pia kuna waziri aliwashauri raia wale viazi vitamu (manumbu) kama hawawezi bei ya mkate
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 May 2, 2022 #8 Mahitaji muhimu yamekuwa anasa.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 2, 2022 #9 Ila pia kuna mikate ya mihogo ingawa ubunifu wetu ni zero na hatutaki kujifunza kwa wengine Waafrika kila kitu tunacho ila kukitengeneza tunaona kazi kubwa kwa uvivu wetu wenyewe tunaamua kula kama Ngβombe
Ila pia kuna mikate ya mihogo ingawa ubunifu wetu ni zero na hatutaki kujifunza kwa wengine Waafrika kila kitu tunacho ila kukitengeneza tunaona kazi kubwa kwa uvivu wetu wenyewe tunaamua kula kama Ngβombe