Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Kupitia video niliyoiambatanisha kwenye uzi huu mshuhudie Museveni na tambo zake
Mwaka 1989 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kupitia video niliyoweka alinukuliwa akisema kuwa hawezi kuwaongoza Waganda endapo Raia watakuwa wanauawa na Vyombo vya Ulinzi vishindwe kuwatambua wauaji
> Leo ni mwaka 2018 vyombo vya habari vimeripoti kuuawa kwa kupigwa risasi kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira pamoja na Mkewe
> Mpaka sasa hakuna taarifa za kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na Mzee Museveni hajajiuzulu kama alivyoahidi mwaka 1989