J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 54 Nov 1, 2010 #1 Kuna tetesi kuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki anajiandaa kuja kumwambia JK akubali tu matokeo. Kofi Annan pia yuko njiani kuja kumwambia Masha (atie saini hata ya dole gumba huko huko Bugando, Batilda tia saini mimba isije haribika ukatulaumu)
Kuna tetesi kuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki anajiandaa kuja kumwambia JK akubali tu matokeo. Kofi Annan pia yuko njiani kuja kumwambia Masha (atie saini hata ya dole gumba huko huko Bugando, Batilda tia saini mimba isije haribika ukatulaumu)