Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
Napenda niwataarifu Watanzania kama bado unajiuliza kura yako ya Rais umpe nani basi Magufuli ni chaguo sahihi kabisa kwa kweli miaka hii mitano ametuongoza vzuri kimaendeleo zaid naamini hii ijayo itaweka historia kubwa katika dunia hii lakini pia ni rais pekee Africa aliyepambana kuzuia corona isiingie nchini.
Asikwambie mtu korona ni mchezo mchafu wa wenye pesa na njia za kuzuia zipo ila mbele ya pesa wengi ameingia mtegoni hapa inahtaji hofu ya Mungu kama aliyokuwa nayo Rais Magufuli huyu ni chaguo la kweli kabisa sina shaka nae kiongozi bora ampende Mungu.
Pia namuona Magufuli akituongoza vzuri sana ktk nchi yetu. Mungu ni mwema Chaguo lako na langu tumpe Rais Magufuli.