Rais Mwinyi aendesha Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

πŸ“ Kisiwandui Zanzibar
πŸ—“οΈ24 Juni 2024

Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter kunambi (MNEC) wakiwa katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Kikao hicho kilichofanyika tarehe 24 Juni, 2024 katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kimeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.

 
Hakuna jipya ccm ni ileile..
Nchi hii ili iendelee tupate katiba mpya na tuikupilie mbele mbogamboga
 
CCM itoe adhabu kali kabisa kwa Luhaga Mpina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…